JIFUNZE TAFSIRI YA SURAT AL-IKHLAASW.

Tokeo la picha la surah ikhlas

 الإِخْلاَص
Al-Ikhlaasw: 112


بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

قُلْ هُوَ اللَّـهُ أَحَدٌ ﴿١﴾
1. Sema: “Yeye ni Allaahu Mmoja Pekee.


اللَّـهُ الصَّمَدُ ﴿٢﴾
2. “Allaah ni Aliyekamilika sifa za utukufu Wake, Mkusudiwa haja zote. 


لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ﴿٣﴾
3. “Hakuzaa na wala Hakuzaliwa.


وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ﴿٤﴾
4. “Na wala haiwi Awe na yeyote anayefanana na kulingana Naye.”

No comments

Powered by Blogger.