Elimu ya Dini ya Kiislamu kwa Kidato cha KwanzaKitabu hiki cha somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu kwa Kidato cha Kwanza ni katika mfululizo wa vitabu vinne vya somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu kwa Shule za Sekondari Kidato cha I - IV. Kimetayarishwa kwa kuzingatia muhtasari wa mwaka 2023.
Hassan Suleiman
ReplyDeleteJaman naomba kufaham hiv vitabu vimeaha tolewa mashuleni
ReplyDeleteBado havijatolewa mashuleni kwa sasa tuendelee kutumia hii soft
DeleteKinafungukaje hiki kitabu na mada zake ni zipi bado sijaelewa
ReplyDeleteMfano familia,tawheed,ndyo n.k ndyo za kitabu hki Cha kidato Cha kwanza au ikoje
ReplyDelete